CHANGAMOTO YA MIFUKO MIPYA MOROGORO

WAFANYABIASHARA wa soko la Manzese Manispaa ya Morogoro wameiomba
serikali kuangalia uwezekano kuzalisha kwa wingi mifuko mbadala kwani
upatikanaji wake kwa sasa haulingani na uhitaji huku bei ikiwa si rafiki
kwao wateja wanashindwa kumudu gharama ya kununua

Maoni